Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tabia za wanawake wezi ndo huwaga hvo..
tabia za wanawake wezi ndo huwaga hvo..
Wezi kivipi ebu fafanua.
Kama kweli Zary anaweza kuwa mkweli dai ni wa ngp kumla???
Achana nae bwana huyo atakua anamaanisha wanawake walio after money.Haya ndio mawazo ya wanaume wengi,kwajinsi nilivyo siwezi kua na mwanaume wa dizaini hiyo kabisaaa.
Mambo gani ya kua na mashaka!
Acha hizo, wewe huyo mwanamke uliyenaye ni wangapi kumla?
Watu wanaangalia real love tu.Hata kama akiwa wa 100 tatizo ni moyo wake unasemaje?
Acha hizo, wewe huyo mwanamke uliyenaye ni wangapi kumla?
Watu wanaangalia real love tu.Hata kama akiwa wa 100 tatizo ni moyo wake unasemaje?
tabia za wanawake wezi ndo huwaga hvo..
Kumbe ndo manake eeh nimekupata vilivo na mapenzi ya mashaka ka swala porini kumuogopa simba au chui hayafai kabisa.
Huyu ni type ya wale akiwa na mpenzi mpya anamuuliza kuhusu past relations badala ya Ku focus na new relation wengi wanaishia true love matters most than past.
Ckujua kama swali linajibiwa kwavkeri kias hiki lkn ww ni wangu hebu niambie ulikuwa umeliwa na wangp??? acha jazba na ww jb niko kwenye semina ya wavulana na wa baba huku kijitonyama ucpaniki
Jibu swali kama swali wewe kijana utatolewa tezi dume wengine wake za watu na waume zetu wapo hukuhuku,ohoooo!