Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

Shemeji yetu naye, mahaba hadi kwenye TV!

Niu niuee mahaba niuee!kwenye joto nipepeee ,
Ukichoka jilaze kifuani,vumilia mabaybeee
tupatacho kidogo ahueniiii

woooo woo woo woooo!hiki kisiki cha mpingo cha mpingoooo!
wooo woo woo acha mwenzenu nicheke japo nina pengooo@maboso

Hahahahaaa nimecheka balaa! Wewe mwanamke hufai aisee.
Ngoja nikusaidie kumuita Maboso
 
Last edited by a moderator:
Huyo anataka kusuguliwa tu hatafuti pesa kwa Mondi

Kweli hapo umenena kwa sababu kama pesa na watoto wa kutosha ZARI anavyo.Kwa sasa anatafuta wa kumtimizia kitandani sio biashara za kubangaiziwa kama mtu yuko field yaani anajifunza kazi lol.
 
Hahahahaaa nimecheka balaa! Wewe mwanamke hufai aisee.
Ngoja nikusaidie kumuita Maboso

ahahahaa!!sasa nifah mi niseme nini jamani na watu wameamua kutuonyesha movie ya buree??
 
Last edited by a moderator:
Jibu swali kama swali wewe kijana utatolewa tezi dume wengine wake za watu na waume zetu wapo hukuhuku,ohoooo!

Hapa nifah nishaanza kuwa na wasiwasi na jinsia yako umecommet kama dume,dah hizi id feki hizi unaweza kweli kutolewa tezi dume.
 
wabongo acheni wivu wa kitoto...
yaani mmejaa majungu tu..

mengi mnamponda
diamond mnamponda

yaani watz tumejaa unafki tu.
 
Mbona kama mtu na shangazi yake aliyemzidi miaka kama 10... Kumbe zari mwenyewe ndio yuko ivi si bora hata bibi uchu wangu...
 
jana nlikuwa kwenye semina flani hivi,nikavunjika mbavu baada ya kujua alama wanaotumia viziwi wanapomtaja bwana almasi
 
How will ths couples end,,, Lord..!!
 

Attachments

  • 1430501510333.jpg
    1430501510333.jpg
    27.3 KB · Views: 480
  • 1430501557085.jpg
    1430501557085.jpg
    21 KB · Views: 448
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom