Niu niuee mahaba niuee!kwenye joto nipepeee ,
Ukichoka jilaze kifuani,vumilia mabaybeee
tupatacho kidogo ahueniiii
woooo woo woo woooo!hiki kisiki cha mpingo cha mpingoooo!
wooo woo woo acha mwenzenu nicheke japo nina pengooo@maboso
Teh Teh ....nimecheka sana...Jf rocks....!
Habari za jioni nifah?
Huyo anataka kusuguliwa tu hatafuti pesa kwa Mondi
Jibu swali kama swali wewe kijana utatolewa tezi dume wengine wake za watu na waume zetu wapo hukuhuku,ohoooo!
Hapa nifah nishaanza kuwa na wasiwasi na jinsia yako umecommet kama dume,dah hizi id feki hizi unaweza kweli kutolewa tezi dume.
Hayafai kabisa shoga angu.Mambo ya kutokuaminia inahusu? Utashangaa unampenda mwanaume kweli lakini haeleweki kumbe akili zao ndio hizi.
tabia za wanawake wezi ndo huwaga hvo..
jana nlikuwa kwenye semina flani hivi,nikavunjika mbavu baada ya kujua alama wanaotumia viziwi wanapomtaja bwana almasi
Waache wafanye yao, maisha mafupi jamani
jana nlikuwa kwenye semina flani hivi,nikavunjika mbavu baada ya kujua alama wanaotumia viziwi wanapomtaja bwana almasi
nifah njoo umjibu huyu mtu...!How will ths couples end,,, Lord..!!