Ujue ukiwa na Dada lazima uwe na shemeji, na lazima ujue kuwa shemeji yako anafanya tendo la ndoa bila kupepesa macho,sasa Kama unajitambua kwa nn ujilazimishe kwenda club et kisa kuwajenga kisaikolojia mashemeji,niliwaita mie? ratiba ibaki Kama ilivyo kwan wanaweza kukaa mwezi mmoja utafanya nn?