Political Jurist
Senior Member
- Sep 6, 2021
- 143
- 120
♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na tarehe 25 Novemba, 2024 alipiga kambi katika Jimbo la Kisesa kupiga kampeni za kuhamasisha wananchi kuwapigia kura wagombea wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024.
"Ndugu zangu, nawaomba chagueni chama chetu chenye sifa na viongozi bora kote Tanzania. Tumeshuhudia maendeleo makubwa chini ya uongozi wa Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonesha njia ya maendeleo ya kweli ".Ndg.shemsa.
Aidha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu aliendelea kwa kusema ;-
"Sababu za kuchagua Chama Cha Mapinduzi tunazo, maana maendeleo yanayoshushwa hapa chini hatujawahi kuona , miradi inapishana kila siku, na maendeleo ya kweli yanashuhudiwa kila kona ".
"Chagueni CCM, tusonge mbele kwa maendeleo endelevu".
"Nimeona umeme umesambaa zaidi hadi kijiji cha huku mwishoni, lakini umeme upo, maendeleo yapo na yanaendelea kuwepo. Chagueni CCM, kwani ni Chama chenye sifa za wagombea wa kweli na tumefanya maendeleo makubwa".
"Hivyo, uchaguzi huu ni muhimu ili kuendeleza miradi hii ya maendeleo na kuhakikisha ustawi wa kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo ".
"Tunaomba kura zenu ili tuendelee kuleta maendeleo ya kweli chini ya uongozi wa CCM ". Ndg.Shemsa Mohamed, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu.
Imetolewa na:
Idara ya Siasa na Uenezi Mkoa wa Simiyu.