ID yako nyingine inaitwaje?Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au?Maana hadi raha.Namimi naomba nikaribie.Naitwa Shenazi Khamis Bweni.
ID yako nyingine inaitwaje?
kaja kivingne huyo. Special kwa ajil ya White PartyMi namwangalia tu!?
Kaka filipo naomba.unifafanulie.
Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au?
Maana hadi raha.
Namimi naomba nikaribie.
Naitwa Shenazi Khamis Bweni.
Jamani.namimi nataka rafiki wa kuwa nawe white parti.
Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au?
Maana hadi raha.
Namimi naomba nikaribie.
Naitwa Shenazi Khamis Bweni.
Asante Baba v.
manoah kanielekeza kila kitu.nampenda sama.