Shenazi Khamis Bweni Napapenda ChitChat,nipokeeni.

Shenazi Khamis Bweni Napapenda ChitChat,nipokeeni.

Nimemtumia messege mtambuzi kuwa nitakuwezo white parti kaniambia nilipe.
Nauliza eti nani nimpe hhyo hela na sh ngapi?
Ni huyu manoah aliyenikaribisha au Donn
 
Last edited by a moderator:
karibu sana Shenazi. mimi nakupenda. vipi utajumuika white party?. je wajua kumention? kama hujui fanya hivi;
anza na @ ikifuatiwa na id ya mtu bila kuacha nafasi ili itokee hivi figganigga. yaani unaandika @ID. Hapo mtu anapata taarifa kama umemtaja. tupendane. mia
 
Last edited by a moderator:
Asante @ figga nigga ila manoah alishanielekeza jinsi ya kufanya.
Asante @figga nigga.
 
Last edited by a moderator:
Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au?
Maana hadi raha.
Namimi naomba nikaribie.
Naitwa Shenazi Khamis Bweni.

karibu bibie...mimi ni mume na baba wa mabinti wanne na kijana mmoja aliyepo masomoni ughaibuni.
 
Back
Top Bottom