TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
-
- #21
Na hatari kubwa zaidi iliyopo hapo ni ikiingia kwenye hilo bwawa la Mindu, ambalo ni source ya maji kwa baadhi ya wakazi wa Morogoro.Kwanza udongo wa eneo hilo utakuwa na tindikali nyingi sana.
Bado madhara mengine, wajuzi watakuja kutuwekea hapa.
Imebebwa kizembe sana. Mwenye hilo lori lazima "wamchomoe" pesa nzuri.Hiyo Sulfur itakua ilikua inaenda kutengenezea mbolea zikina Ammonia Sulfate. Kusema kwamba ilikua inaenda kutenenezea sulfuric acid possible ila rahisi kutwngeneza Dar nakusafirisha product.
Hafu Imebebwa kifala sana.