Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
kwa fasi ya kaskazini mwa tanzania arawa nimedere sheng nahisi we kwa fasi ya chuga au siyoMambo ni mori arawa,kidesign flan kama wahome hv[emoji4]
pingli enyewe nakudere endelea kupata sima za maharagwe nakuja pay hapi kwa mama muuzaInterior ya mawhere hiyo ina maong'ong'o? Izea jo budaboss itabidi unyandue kasamantha mtu nguyaz. [emoji38]
Hata maji chafu huzima moto. 😀😀Interior ya mawhere hiyo ina maong'ong'o? Izea jo budaboss itabidi unyandue kasamantha mtu nguyaz. [emoji38]
Sima na maharage ni sembe na madondo kwa sheng.pingli enyewe nakudere endelea kupata sima za maharagwe nakuja pay hapi kwa mama muuza
Hahaha! [emoji23]Hata maji chafu huzima moto. 😀😀
Nakumbuka Julianipia alikuwa secular enzi zile na ilikuwa muoto sana.Enzi zile sheng ikigongana na literature! Ukoo Flani Mau Mau. Hiphop!
Sheng pasua kichwa! Pole yako jombaa.Write your reply...duh mnatype kijaluo au ni lugha gani?? mbona inaleta kichefuchefu...
Kwenye wimbo wa Nyashinski Mungu Pekee lile neno 'Taftash' maana yake nini?Sheng pasua kichwa! Pole yako jombaa.
'Tafash' au ngori au noma ni mgogoro hivi malumbano, stress au hata kesi kwa makarao/mambang'a(polisi). Statoe ni ikulu. Waba au mawoiyez[emoji23] ni maji.Kwenye wimbo wa Nyashinski Mungu Pekee lile neno 'Taftash' maana yake nini?
Kwenye wimbo wa 'Kebs' Neno 'Statoe' na ' Waba' maana yake nini
'Tafash' au ngori au noma ni mgogoro hivi malumbano, stress au hata kesi kwa makarao/mambang'a(polisi). Statoe ni ikulu. Waba au mawoiyez[emoji23] ni maji.
hiyo kweli pasua kichwa maana huo mchanganyiko wake ni hatari kwa mawasiliano..!!humo kuna kiswahili,kijaluo,kiingereza,kihindi,kichina na maneno mengine sijui ya lugha gani aiseeeeSheng pasua kichwa! Pole yako jombaa.
Hizo labda ni bange zake zinamsumbua. Labda alikuwa anajazilia mstari. [emoji23]Asante chief na kwenye wimbo huo huo anasema 'Siblend in ju' halafu anasema tena 'Ng'ombe ya gredi du' anakua amemaanisha nini?
Hiyo ni lugha ya mabangdingding na maotero. [emoji38]hiyo kweli pasua kichwa maana huo mchanganyiko wake ni hatari kwa mawasiliano..!!humo kuna kiswahili,kijaluo,kiingereza,kihindi,kichina na maneno mengine sijui ya lugha gani aiseeee
Hahahaha pamoja chiefHizo labda ni bange zake zinamsumbua. Labda alikuwa anajazilia mstari. [emoji23]
duh!!ndo akina nani hao???wanaonekana ni watu wabaya sana..Hiyo ni lugha ya mabangdingding na maotero. [emoji38]
Hahaha! [emoji38] Acha zako wewe. Ukitembea Nairobi utaukumbuka sana uzi huu.duh!!ndo akina nani hao???wanaonekana ni watu wabaya sana..
hahaaaaa mkuu hiyo lugha ngumu sana kuielewa,ngoja niufatilie huu uzi huenda nikapata kitu...Hahaha! [emoji38] Acha zako wewe. Ukitembea Nairobi utaukumbuka sana uzi huu.
Kula vako hapo kwa kona mtu nguyaz. Acha tutuliz kiasi mamode wanakwom.hahaaaaa mkuu hiyo lugha ngumu sana kuielewa,ngoja niufatilie huu uzi huenda nikapata kitu...