Sheng Chill Spot

Sheng Chill Spot

Enzi zile sheng ikigongana na literature! Ukoo Flani Mau Mau. Hiphop!
 
Write your reply...duh mnatype kijaluo au ni lugha gani?? mbona inaleta kichefuchefu...
 
Kwenye wimbo wa Nyashinski Mungu Pekee lile neno 'Taftash' maana yake nini?

Kwenye wimbo wa 'Kebs' Neno 'Statoe' na ' Waba' maana yake nini
'Tafash' au ngori au noma ni mgogoro hivi malumbano, stress au hata kesi kwa makarao/mambang'a(polisi). Statoe ni ikulu. Waba au mawoiyez[emoji23] ni maji.
 
Asante chief na kwenye wimbo huo huo anasema 'Siblend in ju' halafu anasema tena 'Ng'ombe ya gredi du' anakua amemaanisha nini?
 
Sheng pasua kichwa! Pole yako jombaa.
hiyo kweli pasua kichwa maana huo mchanganyiko wake ni hatari kwa mawasiliano..!!humo kuna kiswahili,kijaluo,kiingereza,kihindi,kichina na maneno mengine sijui ya lugha gani aiseeee
 
Asante chief na kwenye wimbo huo huo anasema 'Siblend in ju' halafu anasema tena 'Ng'ombe ya gredi du' anakua amemaanisha nini?
Hizo labda ni bange zake zinamsumbua. Labda alikuwa anajazilia mstari. [emoji23]
 
hiyo kweli pasua kichwa maana huo mchanganyiko wake ni hatari kwa mawasiliano..!!humo kuna kiswahili,kijaluo,kiingereza,kihindi,kichina na maneno mengine sijui ya lugha gani aiseeee
Hiyo ni lugha ya mabangdingding na maotero. [emoji38]
 
Back
Top Bottom