Sheng pasua kichwa: Mbogi Genje- Kidungi

Sheng pasua kichwa: Mbogi Genje- Kidungi

Hadi tafiti zinafanywa kuhusu Sheng kama 'effective advertising tool' kwenye 'corporate world' na NGO's. Sasa hivi ukiwa kwenye sekta ya advertising na uwe haukubali hilo huna future yeyote kwenye sekta hiyo. Najua hivi vitu 'first hand'. Naweza nikasema kwa uhakika kwamba miaka kumi ijayo serikali na mashirika husika hayatakuwa yanaweza kufanya 'civic education' kwa raia wa Kenya bila kutumia Sheng.
 
Hardcore Gengetone. Mbogi ni genje, eti wananauwo ngumi mbwegze ni mahead bad. 😀 Dah, hii genre ya muziki imeanza kuwa serious lakini hii sheng hardcore itawapita wengi kwa mbaaaliii. Enjoy, na kichwa kikiuma kwasababu ya kupambana kuelewa lugha meza panadol. [emoji16]
Kusema ukweli mimi ni shabiki sana wa mziki wa aina ya hiphop lakini sidhamini ata kidogo sheng. Manake ni kuwa si watu wengi wataelewa uo wimbo na soko lao la kuuza mziki wao unapunguka kwa asilimia kubwa sana. Isitoshe watu ambao uskiza hii aina ya hardcore/rap sugu kwa kawaida hawana uwezo wa kununua CD na mara nyingi watafanya ku pirate. Katika miziki yetu wakenya ni vyema tufuate kiswahili kamili. Ilo tu ndio pendekezo langu ila rap/hiphop idumu milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I still rep Eastlands but I'm not up to date with the street lingo.

sheng from Eastlands is about neighborhoods and generational too. sheng ya Jeri bahati na marish ni different kuliko ya umo na buru which different na ya kayole na dando.....so on and so forth
 
Kusema ukweli mimi ni shabiki sana wa mziki wa aina ya hiphop lakini sidhamini ata kidogo sheng. Manake ni kuwa si watu wengi wataelewa. Isitoshe watu ambao uskiza hii aina ya hardcore/rap sugu kwa kawaida hawana uwezo wa kununua CD na mara nyingi watafanya ku pirate. Katika miziki yetu wakenya ni vyema tufuate kiswahili kamili. Ila rap/hiphop idumu milele[/URL]
Vipi kuhusu Khaligraph, ambaye alijishindia tuzo la mwanamuziki bora Afrika kwenye mtindo wa rap? Rap yake si ni hardcore na lugha anayoitumia kwa sana si ni sheng? K.m. Wanaonunua mziki wake ni kina nani kama sio watu ambao wanapenda rap hardcore? Kuna favourite group yangu hapa Afrika, Mafikizolo, ambao huwa wanaimba kwa lugha yao ya asili. Mbona haijawazuia kufanikiwa nje ya S.A? Sema labda umewadharau hawa vijana kwasababu ni underdogs na upcoming, kila msanii huwa anaanzia chini. Alafu mara ya mwisho nilitumia CD, ilikuwa ni kwenye 6X4, Jk! 😀
 
Khaligraph rap yake ni hardcore ila sheng yake inaeleweka SI Hardcore manake ni ile inatumika kila siku. Ya hawa vijana sidhani kama asilimia 5% ya watu wataelewa. Kuimba rap na lugha yeyote ata iwe ya kiasili si jambo bora tu halaiki inaelewa. Sidharau hawa vijana ila kusema nafasi yao kibiashara ni duni.
Vipi kuhusu Khaligraph, ambaye alijishindia tuzo la mwanamuziki bora Afrika kwenye mtindo wa rap? Rap yake si ni hardcore na lugha anayoitumia kwa sana si ni sheng? K.m. Wanaonunua mziki wake ni kina nani kama sio watu ambao wanapenda rap hardcore? Kuna favourite group yangu hapa Afrika, Mafikizolo, ambao huwa wanaimba kwa lugha yao ya asili. Mbona haijawazuia kufanikiwa nje ya S.A? Sema labda umewadharau hawa vijana kwasababu ni underdogs na upcoming, kila msanii huwa anaanzia chini. Alafu mara ya mwisho nilitumia CD, ilikuwa ni kwenye 6X4, Jk! 😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaligraph rap yake ni hardcore ila sheng yake inaeleweka SI Hardcore manake ni ile inatumika kila siku. Ya hawa vijana sidhani kama asilimia 5% ya watu wataelewa. Sidharau hawa vijana ila kusema nafasi yao kibiashara ni duni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, hukujibu swali langu kuhusu Mafikizolo kutoka S.A. Ambao huwa wanaimba kwa kizulu. Wimbo wao wa Kwaito, Khona(Happiness) uliongoza kwenye charts hapa Afrika kwa muda mrefu. Ukagonga Top 10 ya charts za hits kali nje ya Afrika. Vipi kuhusu nyimbo za Miriam Makeba enzi zile k.m. Mkhomboti, au nyimbo za Oliver Mtukudzi. Hata kwenye rap sasa hivi kuna Sarkodie wa Nigeria ambaye huwa anarap kwa kiyoruba na anahit kote kote. Tukitumia kigezo chako hata kuimba kwa kiswahili pia ni kuji'limit' kwa soko la hapa EA. Lugha ya mziki ni 'universal', production na sound ndio kila kitu. Hiyo ndio ilikuwa point yangu.
 
Vijana wa Arusha huwa wananifurahisha sana pia na slang zao na swag zao pia, swag zao huwa ni za kikenya kwa sana. Ila huwezi fananisha slang za ma arifu wa Arachuga na Sheng. Sheng ipo kwenye level nyingine, imepitia evolution hadi karibia iwe lugha tofauti. Arusha wanaongea slang basic za kuchanganya kiswahili na sanasana kimaasai. Maneno kama bablai na dingilai, eroo onchore 'lai' kwa kimaasai inamaanisha wangu au yangu. Apaaiya lai, amaa, kae moda ntungani noo Arusha. 😀
Hapa nakuunga mkono. Wajua pia Tanzania kuna sheng yao haswa maeneo ya kaskazini Arusha. Mtu akitoka dar atashangaa sana na sheng ya arusha. Halafu pia Hiphop ngome yao ni Arusha sehemu za moshono, kijenge na mbauda
Sent using Jamii Forums mobile app

Vijana wa Arusha huwa wananifurahisha sana pia na slang zao na swag zao pia, swag zao huwa ni za kikenya kwa sana. Ila huwezi fananisha slang za ma arifu wa Arachuga na Sheng. Sheng ipo kwenye level nyingine, imepitia evolution hadi karibia iwe lugha tofauti. Arusha wanaongea slang basic za kuchanganya kiswahili na sanasana kimaasai. Maneno kama bablai na dingilai, eroo onchore 'lai' kwa kimaasai inamaanisha wangu au yangu. Apaaiya lai, amaa, kae moda ntungani noo Arusha. 😀
Tatizo kubwa la sheng ni kuwa ni lugha inabadilika kila uchao kwa iyo kupata wafuasi wengi ni ndoto manake maneno yaliyotumika jana leo kwa sheng hayapo, sasa utamfunza nani? Sheng tuliyo tumia sisi ukiiongea leo watoto na hawa vijana hawawezi shika ata ngo! Sheng inashika tu sehemu chache mji wa Nairobi Eastland kayole dandora... Ata si Nairobi nzima. Halafu pia sheng inatofautiana sana kulingana na eneo, mfano ya kayole ni tofauti na ya kariobangi n.k
Kuhusu rap kwa lugha asili nimekujibu kamili kuwa izo lugha zina wafuasi wengi. Zulu ina waongeaji milioni 12 na iyo lugha aibadiliki kila uchao kwa ivyo ni rahisi kuwaeleza watu wimbo unamaanisha nini. Sasa sheng utamweleza nani kama sisi wakenya wenyewe hatuijui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia hiyo lugha watu wa nairobi pekee ndio wanaweza wakasikilizana/kuelewana ktk mazungumzo kama umetoka tz, kisumu, amerika na kwingineko kamwe hutaelewa wanaongelea jambo gani

Umenoa.. Hata Nairobi uwa ni ngumu kila mtu kuielewa. Upande wa Eastland ndio watu wanaiongea Sana. Kwa ufupi, aslimia ya watu watakayoielewa sheng aiwezi pita 5%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenoa.. Hata Nairobi uwa ni ngumu kila mtu kuielewa. Upande wa Eastland ndio watu wanaiongea Sana. Kwa ufupi, aslimia ya watu watakayoielewa sheng aiwezi pita 5%
[/URL]
Jombaa, kwahivyo 95% ya wakazi wa Nairobi waliosalia wanaongea kiswahili sanifu, kiingereza au lugha za asili? Hiyo itakuwa ni uongo mtupu. Majority ya watu(ambao ni vijana) Nairobi na miji mingine huwa wanatumia Sheng kwa % kubwa zaidi ya lugha yeyote nyingine. Iwe Kiingereza, Kiswahili sanifu au lugha za asili. Sema ni Sheng ambazo zinatofautiana, kulingana na mitaa. Kuna hadi wale ambao wanaongea sheng ambazo ni kiswaenglish dundaing kujaing n.k. Ila ni ngumu sana kwa mkazi wa Nairobi kuongea hata sentensi mbili kwa kiswahili bila ya kuingiza maneno ya sheng. Kwanzia kwa salamu niaje, sasa, fiti, tuchekiane, umelost, ntakudungia n.k. NB: Sheng sio eti ni hiyo hardcore tu kwenye huo wimbo, wala eti za zamani na ambazo bado zinatumika na wale ambao ni oldskul sio Sheng.
 
Back
Top Bottom