pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Hadi tafiti zinafanywa kuhusu Sheng kama 'effective advertising tool' kwenye 'corporate world' na NGO's. Sasa hivi ukiwa kwenye sekta ya advertising na uwe haukubali hilo huna future yeyote kwenye sekta hiyo. Najua hivi vitu 'first hand'. Naweza nikasema kwa uhakika kwamba miaka kumi ijayo serikali na mashirika husika hayatakuwa yanaweza kufanya 'civic education' kwa raia wa Kenya bila kutumia Sheng.
www.semanticscholar.org
The growth and use of Sheng in advertisements in selected businesses in Kenya | Semantic Scholar
For a long time Sheng was perceived as an argot language, a variety restricted in its domains of use. It was seen as a language of the urban youth in Nairobi. However, there has been an emerging trend whereby big corporate companies, such as mobile phone companies, insurances, financial...