Spider
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,640
- 550
Kwamba mama yake mzazi ameaga dunia.Kitu gani tenaaa
Hata tone Leo haikuwa sawa,ni kujikaza kiume tu ilikuwa.Mama ni mama tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mama yake mzazi ameaga dunia.Kitu gani tenaaa
Kwamba mama yake mzazi ameaga dunia.
Hata tone Leo haikuwa sawa,ni kujikaza kiume tu ilikuwa.Mama ni mama tu.
Ikiwa amejenga gorofa kwanini mama asipakizwe kwenye bombardier?Kwa iyo unataka kushauri kina mama wasisafiri na basi za mkoa tuwatafutie usafiri mwingine
Kwani vifo huwa havitokei kwanye Bombardier!Ikiwa amejenga gorofa kwanini mama asipakizwe kwenye bombardier?