Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi
Pole sana ndugu kwa changamoto zinazosumbua taifa hili, ni matumaini yetu kuwa kizazi kijacho kitafanya mabadiliko. Maana Kwa hiki kizazi tulichonacho kimeridhika na Hali iliyopo.Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi?
Sherehe ya Wafanyakazi na ipo dunia nzima.Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi?
Uchawa, tumeweka kando Mambo ya msingiTaifa linaelekea wapi?
Tunaelekea wapi pale unapohuduria sherehe za Mayday na kumsikia mkuu wa mkoa akisema CCM mitano tena!!!! Hii maana yake nini?
Tumesharudi enzi za chama kimojaTaifa linaelekea wapi?
Tunaelekea wapi pale unapohuduria sherehe za Mayday na kumsikia mkuu wa mkoa akisema CCM mitano tena!!!! Hii maana yake nini?
TUCTA,TALGU CWT,TUGHE natakataka zingine zote ni matawi ya ccm wafanyakazi nchi hii hovyo kabisa hawazijui haki zaoTaifa linaelekea wapi?
Tunaelekea wapi pale unapohuduria sherehe za Mayday na kumsikia mkuu wa mkoa akisema CCM mitano tena!!!! Hii maana yake nini?
Waache waje watheme tena🤸Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi?
Utajua ww kama mei mosi au kampeni Samia mitano tena CCM daimaNatamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania
Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena
Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za wafanyakazi badala yake ni kampeni
Kinachoendelea Singida ni Mei Mosi au Kampeni za uchaguzi?
Ndio maana Mimi nilikataa kujiunga huo upumbavu.TUCTA,TALGU CWT,TUGHE natakataka zingine zote ni matawi ya ccm wafanyakazi nchi hii hovyo kabisa hawazijui haki zao
Ni mahaba tu kwa mkuu wetu wa nchi.Taifa linaelekea wapi?