Ulifutwa siku ile ile kesho yake nkala ban[emoji3][emoji2][emoji16][emoji16]!!Hata sielewi na ule Uzi ulifutwa server zote zenye kuleta mabishano
Tupo pamoja mamiiiYaani ban inaisha inaungwa juu kwa juu halafu sijui nimecheka Leo kwa hasira nashukuru kwa msaada wako sana! barikiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu acha tu!
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]nimeona kaniambia Mimi mwenyewe hapa nilipewa suspension mpk Novemba 3 hapa huruma za melo! Si unajua melo mzungu wa rohoo!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Maimartha nae ana mdomo sana.Kwa jokate nimecheka sana, ila jiwe anafaidi aiseeView attachment 819681
[emoji16][emoji16][emoji16]sana tu na anazidi kubarikiwa maisha mengi![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Tuendelee kumshukuru Melo.
Welcome back boo
Hakika hakupendeza...kweli shamsa ford aliboranga na hilo gauni lake paja kubwa kama kinu
Kwanj mzee wa nye nye nye nae mwanamke?