Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Sio kweli ...Zama been always dark na ana ngozi nzuri...angependa weupe angejikoboa muda sana

Mlidhani bila Ruge Zama hatoshine??..u were wrong
Field Marshall wenu hadi leo kashindwa kuchagua mmoja amtulize...kama ye kweli Mwanaume AOEE
Huyo Zama mnayemsifia hana lolote. Kasubiri kajengewa nyumba na Ruge kwa ajili ya watoto. ndio akaanza ushenzi wake na kuambatana na Makonda nani asiyejua ile ndoa 100% ni makonda ili kummuiza Ruge. mwanamke anayejitambua watoto wawili na huku unakimbilia ndoa si angeweka kitako chini alee watoto.. Vyote anavyofanya ni ili Ruge amwone kwamba hajatetereka hana lolote huyo... fun enough alisikia Ruge aumwa achaa aandike page 10 asogee kule hana lolote huyo subiri utona mwenyewe. Na huyo shamba boy wake
 
Naona imewauma Zama kuolewa and she is soo happy na familia yake...kulea watoto analea hata saivi ndani ya ndoa yake na mumewe
Kama ana changamoto ndo maisha hivoo ndoa zote zina challenges

Kufeni mjinyonge mlodhani Ruge ni Mungu mtu mkidhani Zama ataishi vibaya kisa hajaolewa na Ruge

Mlitaka abaki anadanga ili mseme single maza?.Kofi la Mungu kali sana
 
Huyo Zama mnayemsifia hana lolote. Kasubiri kajengewa nyumba na Ruge kwa ajili ya watoto. ndio akaanza ushenzi wake na kuambatana na Makonda nani asiyejua ile ndoa 100% ni makonda ili kummuiza Ruge. mwanamke anayejitambua watoto wawili na huku unakimbilia ndoa si angeweka kitako chini alee watoto.. Vyote anavyofanya ni ili Ruge amwone kwamba hajatetereka hana lolote huyo... fun enough alisikia Ruge aumwa achaa aandike page 10 asogee kule hana lolote huyo subiri utona mwenyewe. Na huyo shamba boy wake
Wewe ni yule wa kipindi cha usiku nini hapo nawinguni

Kuishi na mzee wa fursa si kazi ndogo,inasemekana kila fursa kwa wadada wa bongo fleva lazima aithibitishe
 
unajua wabongo ndomana atuendelei yan unamdic mwache na mamboyaco wazungu wanasema carry on with your business???
kuiga iga wazungu kwa kila kitu sio sifa ni ujinga. Kuna wazungu wakiwa na furaha zikiwazidi wanatembea uchi. je na sisi tuige kutembea uchi ?

Lazima kuwe na tofaut za kitamaduni. Kufuatilia fuatilia mambo ya watu ni moja ya utamaduni wetu though hata huko America mastaa wanafuatiliwa sana.
So hakuna jipya hapo.
 
Last edited:
Wewe ni yule wa kipindi cha usiku nini hapo nawinguni

Kuishi na mzee wa fursa si kazi ndogo,inasemekana kila fursa kwa wadada wa bongo fleva lazima aithibitishe

Hakuna cha usiku wala mchana... sijaona la maana analafanya
 
Mamyyyy kariiibu sanaaaaa shunie kala ban alichambana tena na pugi wote wamekula ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzangu acha tu!

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]nimeona kaniambia Mimi mwenyewe hapa nilipewa suspension mpk Novemba 3 hapa huruma za melo! Si unajua melo mzungu wa rohoo!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dooooh .....November??????
 
Back
Top Bottom