Huyo Zama mnayemsifia hana lolote. Kasubiri kajengewa nyumba na Ruge kwa ajili ya watoto. ndio akaanza ushenzi wake na kuambatana na Makonda nani asiyejua ile ndoa 100% ni makonda ili kummuiza Ruge. mwanamke anayejitambua watoto wawili na huku unakimbilia ndoa si angeweka kitako chini alee watoto.. Vyote anavyofanya ni ili Ruge amwone kwamba hajatetereka hana lolote huyo... fun enough alisikia Ruge aumwa achaa aandike page 10 asogee kule hana lolote huyo subiri utona mwenyewe. Na huyo shamba boy wake