Sherehe ya form 4 yavunja masomo ya shule ya msingi

Sherehe ya form 4 yavunja masomo ya shule ya msingi

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Leo tarehe 18 october 2013 kulikuwa na sherehe ya kumaliza kidato cha nne ktk moja ya shule za sekondar mjin hapa iliyoanza majira ya saa 6 mchana

Takriban kilomita 3 kutoka shule hii kuna shule ya msing ambaya siku hii ya leo walimu walidiriki kuahirisha vipindi vyote shuleni ili wapate muda wa kwenda kwenye sherehe hiyo ya shule ya sekondari

Kama mwanazuon, nimesikishwa na kitendo hiki na kuamua kuwashirikisha wana jukwaa ili nisikie mawazo yenu juu ya jambo hili
 
Back
Top Bottom