EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Kabila sio kabiraHabari za Leo wakuu,
Naomba kujua swali hili
Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
hapana nahitaji kujua tuUna mpango wa kwenda kushiriki nini?
Wamasahai= Wamaasai
Tunatahiri vijana miaka saba mfululizo na kupumzisha zoezi Hilo kwa miaka saba pia ili kupisha vijana wengine wakuwe kwani sisi hatutahiri watoto wadogo. Hiyo likizo ya miaka saba bila kutatahiri ndiyo hutumika kutenganisha rika moja na lingiAhsante
Ahsante sana mkuu
Hivi humu jf
Tafadhali mzitoe hbr zote uku endorip imbiyaani
Binafsi nilipelekwa jando nikiwa darasa la nne nikiwa na miaka kama kumi hivi, kwa hiyo hakuna umri maalam isipokuwa mtoto mdogoNi vijana kuanzia miaka mingapi hadi mingapi wanaruhusiwa kutahiriwa mkuu?
Hawa watu sijawaigi wakubali mambo yao hasa uvaaji na kutoboa toboa masikio ovyo..Habari za Leo wakuu,
Naomba kujua swali hili
Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
Bas wee ulikuwa unaumwa lawalawa wamasai wanatahiri kichwa CYO mboo ili kutahiriwa inakupasa kujielewa wee Ni NaniBinafsi nilipelekwa jando nikiwa darasa la nne nikiwa na miaka kama kumi hivi, kwa hiyo hakuna umri maalam isipokuwa mtoto mdogo