Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?

Ni vijana kuanzia miaka mingapi hadi mingapi wanaruhusiwa kutahiriwa mkuu?
18, na kuendelea. Lakini Kama mzazi ataridhia mtoto atatahiriwa chini ya hapo lakini isiwe chini ya miaka 11 kwa sababu zoezi ni gumu na Hatari kwa uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…