Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita 2,400.
Shughuli hiyo imeonesha utamaduni wa jadi wa uvuvi wa samaki wa kabila la Wahezhe.
Najua wewe uko huko ndio maana umevutiwa na hii sherehe.
Inapendeza sana kwa sababu samaki wamenenepa kama wao wenyewe.
Hapa kwetu ungependekeza wapi tufuge samaki kama hao.
Na jee hao samaki wanaliwa au ni sherehe tu.