Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Raisi wa SA mheshimiwa Jacob Zuma ndio anaingia nadhani sasa JK ataingia muda wowote...
 
viongozi waliofika wote walichakachua ushindi wao... kibaki, mugabe etc
 
Huyu mtangazaji kwa kweli amenichekesha. Ati "rais wa Tanzania anayemaliza muda wake"! Kwi kwi kwi kwi!

Hakuna producers na directors walio makini?
 
Mkapa acha kuwapiga piga mgongoni maraisi wanaongia, akha
 
huo wimbo baada ya wimbo wa taifa ni wimbo gani?
 
why billal anaapa kwa katiba? yeye muhuni km kingunge ngombalemwiru? why hawaapi kwa quran
 
Mbona anaongea haraka haraka sana. Au anaogopa kuanguka kabla hajamaliza kuapa?
 
haya jama mkomunisti gharib bilal ndio keshaingia ikulu ..............lazima tutoke kipovu
 
kamata mkuki wa kuwachoma wanaoleta chokochoko
 
Back
Top Bottom