Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

why billal anaapa kwa katiba? yeye muhuni km kingunge ngombalemwiru? why hawaapi kwa quran


bilala ni mkomunisti asiye amini mungu.......kaamua aape kwa katiba tu
 
belzebubu ina maana gani ....maana hata mwalimu imempiga chenga.
 
Basi mwache mkwere apate haki yake ya kuapa "kututumikia" watanzania. Acha longolongo.
haki ya mkwere ipo pale pale ........haiondoki kwa longolongo la gaijin.

btw suit ya mkwere wapi? Armani?
 
belzebubu ina maana gani ....maana hata mwalimu imempiga chenga.

Nlitaka mikuulize, kama na wewe hujui, hebu cheki na Mugabe. Naye anashuhudia live Mkwere akiapa.
 
Dua la mwakilishi wa kiisilamu limekaa kimafumbo sana.... "eeeh mola wetu tunakuomba uliepushe taifa hili na siasa za kidini...." sasa ni zamu ya jumuiya ya makanisa Tanzania... "Eeeh Mungu ntunakushukuru kwa kumuamsha mmoja kati yetu kuwa kiongozi wetu..."
 
najua kuna walioudhuria hapo uhuru stadium kwa unafiki tu na wengi wao ni wale wanaotegemea kushiba kutokana na ushindi huo dhalimu.
 
Angalau yeye maana katiba ni ya wanadamu lakini huyo wa Quran atajiju maana Mungu hakuna kumtania

Mungu wa siku hizi si sawa na wa zamani. Angekuwa wa zamani, JK angesha RIP siku nyiiiingi. Manake alichokiapia sicho alichokitekeleza.
 
Hiyo dua ya kiislam mbona ya fitna sana??????????? Maneno gani hayo yakichochezi? Huyu ni shekhe au sheta....
 
hapa wanafanya kama maigzo zaidi am not sure wapo serious, well kwa mtazamo wangu
 
Najua jk hatatawala kwa amani awamu hii kwa sababu anajua watu wengi walimkataa tofauti na ilivyokua mwaka 2005 alipopata ushiondi wa tsunami kama sio kimbunga itabidi ajikombe sana kwa raia na waandishi wa habari... Lakini ukweli utabaki palepale sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom