BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kuna mtu kanitonya yuko jikoni kiasi kwamba Sherehe ya jana bajeti ni Billon 6 sasa zimetumika tumika vipi mimi sijui ila hio ndio bajeti ndio pesa zimeteketezwa jana tu kwa masaaa kadhaaa, huku raia hawana maji.
Huwezi amini jana pale Dodoma zimeteketezwa Billion 6 kisa kupokea matokeo ya sensa, kumbuka kuna watu wamesafairi kutoka mikoa yote ya Tanzania kwenda Dodoma kupokea matokeo ya sensa.
Huyu mama yuko adicted na sherehe sherehe inaonekana Mwenda zake liavyo kuwa ana canceli sherehe za kitaifa yeue alikuwa ana maind sana.
Mama anapenda sherehe sana huyu, fikiria Billion 6 kwa siku wakati kuna raia kule Longido wamenaza kufa kwa njaaa, Dar maji na ya mgao, Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni full mgao wa umeme ila watu wanateketeza Billion 6 kwa masaa kadhaaa na haioni shida kabisa.
Nyakati za nyuma matokeo yalikuwa yana pokelewa vipi? Mbona hakukuwa na sherehe za kupokea matokeo?