Tetesi: Sherehe za kupokea matokeo ya sensa zimetumika Billion 6

Uongo ni 480 Milion,
Pamoja na udhaifu wa serikali zetu ila ukweli Usemwe ulivyo ! Mi ni napinga sana kutangaza matokeo Kwa namna ile wangeitwa hata waandishi wakaambiwa pale Ikulu , tukasevu 480Milion
Hahaaa hizo mbona ni za kulipa wasanii pekee, kwanza haitoshi, elewa B 6 zimeteketea pale
 
Unashangaa nini Kwa wamama kupenda sherehe? Hakuna jipya ila jipya ni hiyo gharama ukitonywa.
 
Mwendazake alikuwa akiagiza ndege moja anaita viongozi wa nchi nzima as if ndege moja ndiyo perfonamce ya nchi., Ile report ya makininika kaita viongozi wote lakini leo imekuwa proved rubish. hadi imezaa trap na na na na na na na na na Trat.
Sasa lile lilikua jambo la kiuchumi na aliwaita wachache.

Kw hiyo unaunga mkono hoja au sio.!
 
Kama ni kweli basi inasikitisha wakati serikali inasema haina Ela na kuingia kwenye akauntibza watu kuweka tozo, Kuna watu ambao kazi Yao ni kutafuta matumizi
 
We bil 6, unaijua wewe.?

Nadhani hiyo ni pesa iliyotumika kwenye zoezi zima la Sensa. Sio sherehe ya jana tuu.

Ila bado serikali ina matumizi mabaya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenda pia imezidi, wewe kusafirisha watu nchi nzima na mav8 yao unafikili mchezo, alafu mtu aseme eti ccm itakua Madarakani 2025, nawambia itapigwa Kama ngoma,

Tunasema kipindi Cha jk kulikua na ubadhilifu ila nawambieni hakuna kipindi Taifa linapitia katika ubadhilifu wa kutisha elekea 2025, ipo siku mtakuja kushangaa
 
unaweza jikuta unatukana lakini itoshe tu kusema tunaongozwa na malamba asali
 
Kwa hiyo kumbe sio ile milion 480 tuliyoiona nyingi sana?
 
Huwezi kutegemea Mswahili akawa VISIONARY hata KIDOGO. Sana sana tegemea uswahili uswahili tu
 
Pesa za watangayika milioni 60 zinatumika vibaya.
 
Ile chopa iliyorusha matokeo lazima ilitumia wese la kufa mtu.
 
Madalali yatakula wapi? Tatizo madalali yamejaa humo.
 
Kamishna wa sensa yupo, angeitisha press conference akatangaza matokeo. Sasa ajabu rais anafanya sherehe.
Umeona eeh, ni sawasawa na Chebukati akae pembeni, Uhuru ndo atangaze matokeo.........bongo ujuha ni mwingi sana.
 
Uongo ni 480 Milion,
Pamoja na udhaifu wa serikali zetu ila ukweli Usemwe ulivyo ! Mi ni napinga sana kutangaza matokeo Kwa namna ile wangeitwa hata waandishi wakaambiwa pale Ikulu , tukasevu 480Milion
Wewe mlamba asali acha kutuzuga.
 

Attachments

  • JamiiForums1856819424.gif
    700.5 KB · Views: 2
Unafahamu billion 6 au unaota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…