..Mkuu najaribu kupekua pekua nijue price range ya huu mtambo....Nadhani muungwana nae amekuja na style mpya ya usafiri anaotaka kutumia......Bado kuna shule Kigoma wanafunzi wanakaa sakafuni hakuna madawati wao wanatukoga tu na migari yao.....Mkuu, shukrani sana. Errors nimejitahidi kurekebisha accordingly.
Kaondoka na gari lake jipya? Naona State House wamebadili wanatumia X5 cars siku hizi. Linafanana hivi?
![]()