Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Jikite kwenye hoja dogoJikite kwenye kuchangia sio kuangalia nani kachangia nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hoja dogoJikite kwenye kuchangia sio kuangalia nani kachangia nini!
Kuwa MWANACHAMA wa ccm Lazima uwe na moyo mgumu[/QUO
Ili tatizo huko upande wa pili ni full vidonda vya tumbo. Tena wengine watoto wadogo tu. Mtu akiamka tu, yupo kwenye mitandao anatafuta Magu kasema nini akomae nae. Tena hapo yuko kwa Shemeji mkaza dada. Vyuma vimekaza kuanzia kwa steringi shemeji mwenyewe memba wetu wa Jf anayetunzwa. Shiida!
Hizi ni sherehe za CCM sio kitaifa.Ndiyo maana ni ngumu kuhubiri uzalendo.Maana ukichanganya tu na uvyama basi tena maana ya sherehe Za kitaifa zinapoteza maana yake Na watu kuanza kuziona kama sherehe Za kichama tu.
Nitashtuka sana hata mm kuwaona hao askari wakikubali kufanya huo UTUMWA wakati wenzao wameuawa kinyama huko Congo.Nitashangaa sana kama makomandoo wa kuvunja matofari kifuani nao watakuwepo uwanjani.
Inakera sana kuwaona hawa mbuzi wanavaa miguo yao ya chama kwenye sherehe za kitaifa!Kwa kweli kati ya mambo yanayokera sana ni hili la wafuasi wa chama tawala kuvaa sare za chama chao katika shughuli mbalimbali za kitaifa amabazo kimsingi si za kiitikadi kwa kisingizio cha kuwa wao ndio chama dola hakika si sawa kwani suala la wao kuwa chama dola linfahamika na linapokuja suala la kitaifa umoja usio na itikadi ni jambo la msingi zaidi kuliko kuleta viashiria vya kichama.