Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

 
Mambo mengine ni ya kipumbavu tu huwa najiulizaga swali wale watoto waliolawitiwa wako wap
 
Ndiyo maana ni ngumu kuhubiri uzalendo.Maana ukichanganya tu na uvyama basi tena maana ya sherehe Za kitaifa zinapoteza maana yake Na watu kuanza kuziona kama sherehe Za kichama tu.
Hizi ni sherehe za CCM sio kitaifa.
 
Sherehe za "uhuru" upi wakati kila siku watu "wanapotea" na kuokotwa wakiwa kwenye viroba baharini? Kabla ya "kuadhimisha" hizo sherehe zenu hebu kwanza mrudisheni mwandishi wa habari mliyemteka kule Kibiti.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Inakera sana kuwaona hawa mbuzi wanavaa miguo yao ya chama kwenye sherehe za kitaifa!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na matatizo yaliyopo bt Mungu ni mwema tumefika 56 years of our independence, may God bless this lovely country of mine

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…