Unajua kujidharau....Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Endelea tu kujidharau. Sina shida na hilo.Siongeagi na maccm mimi nyie ndo mnatupa tabu mpaka tunaonekana wa hovyo.
Unaenda wapi au umeagiza mzinga wa k-vant?
Poa Tu.huo mpira unaangalia wapWewe shomile habari yako bwana mwenyekiti wa wahaya hapa jamii forum?
Tanganyika tunaweza ?Hata South Africa, Ghana na inchi nyingi za mtu mweusi, hayo wanayaweza...
Ahaa Mie so mwenyekiti wa wahaya. Kwanza Mie mkagame.Wewe shomile habari yako bwana mwenyekiti wa wahaya hapa jamii forum?
Tanganyika tunaweza ?