Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
 
Hata South Africa, Ghana na inchi nyingi za mtu mweusi, hayo wanayaweza...
 
Back
Top Bottom