Sheria 17 za mpira wa miguu

Sheria 17 za mpira wa miguu

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
1} Uwanja
÷ Urefu mita 100-120
Upana mita 50-60
Mduara wa katikani nusu kipenyo 9.15

2} Mpira
Huwa na kipenyo cha Sm 68 -70
Uzito wa grm 410-450
Ujazo 1.1-1.6

3} Idadi ya Wachezaji
11 kwa kila team
Sub 7
Wanaotakiw kwa sub 3

4} Vifaa vya Michezo

5} Mwamuzi

6} Waamuzi wasaidizo

7} Muda
Mpira huchezwa kwa dk 90 yani 45 /45
Muda wamapumziko usizidi dk 15 na isipungue dk 10..
Kama zitatokea dk 30 za nyiongeza mapumziko yasizid dk 5

8} kuanzwa na kuanzishwa tena mchozo

9} Mpira kuwa nje na ndani ya uwanja

10} Namna yakufunga goli

11} Kuotea - nikitendo cha mchezaji kupokea mpira akiwa anewazidi wachezaji wote wa team pinzani ndani yaeneo la team pinzani

Mchezaji anaweza asitafsiriwe kama ameotea ikiwa amezidi lakini hatajihusisha na mpira uliokuwa eneo lakuotea

Mchezaji hatakuwa ameotea ikiwa walinzi watakuwa wanamkia na hawatojihusisha na mpira

Mchezaji hata tafsiriwa ameotea ikiwa mwenye mpira ataupiga goli la team pinzani na mpira ukagonga nguzo mchezaji alioko eneo lakuotea akafunga itakuwa sio goli lakuotea

Kutakuwa hakuna dhana yakuotea ikiwa kipa amemepangua mpira na ukamkuta mchezaji aliokuwa ameotea akafunga

12} Makosa yautovu wanidham

Mchezaji atakaeonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja atakosa match 3

Mchezaji akionyeshwa kadi 2 za njano na moja nyekundu atakosa mchezo 1

Mchezaji akionyeshwa kadi 5 ndani ya ligi 1 atakosa mchezo 1

Kadi 10 atakosa michezo 2
Kadi 15 atakosa michezo 3
Inayofuata na hataruhusiwa kuchagua michezo

Ikiwa mchezaji atafikisha kadi 20 za njano basi kamat ya maadili yaligi husika itakaa nakuamua adhabu

*13}* Pigo huru.
Wakati mpira unapigwa wachezaji hutakiwa kukaa mita zisizopungua 9.15 au hatua 10 kutok mpira ulipo

14} Penati
Mpiga penati hutakiwa kupiga penati moja kwa moja au kumtengea mchezaji mwenzake aliokuwa nje ya box la penati *{mf Lionel messi na Suarez msimi wa 2015/16}*
Mpiga penati ataruhusiwa kuucheza mpira uliopanguliwa na kipa
Lakini hataruhusiwa kuucheza mpira uliogonga mlingoti nakurudi uwanjani

15} Mpira wa kurushwa

16} Pigo la Goli

17} Pigo la Kona
Mchezaji anaweza kupiga moja kwa moja au kuanza kwakupasia
 
Zipo nyingine Hazipo, kwa mfano kuna ile niliiona, mchezaji Wa sub alikuwa anapiga jaramba, kwa bahati mbaya akaingia uwanjan akalambwa yellow VP kuhusu hiyo, KOCHA kusimama eneo lake, VP kuhusu bench la UFUNDI Liwe Na viongozi wangapi, vp kuhusu Nyavu ziweje
 
Wananikera maswala yao ya vile TV. Sisi wengine timu zetu mbovu kweli.

Tunategemea hayo hayo magoli za kuzulumu ili tushinde mechi. Halafu wamebana.
hahahaa ile ya refa kuitwa akahakikishe uhalali wa maamuzi aliyoyafanya, utakuta alitenga penati akienda kwenye vile vitvii anarudi anasema siyo penati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ule nusu mduara unaochorwa nje ya mstari wa kumi na nane una kazi gani ?
Ule nusu mduara unaoanzia mbele katikati ya eneo la kujidai la mstatili la golikipa.
 
Ule nusu mduara unaochorwa nje ya mstari wa kumi na nane una kazi gani ?
Ule nusu mduara unaoanzia mbele katikati ya eneo la kujidai la mstatili la golikipa.
Wakati wa kupiga penati wachezaji wanaosimama nyuma ya mpiga penati husima kwenye ule msitari wa nusu duara ili kumpa nafasi ya kutosha mpigaji na pigo hili ni lile la ndani ya dakika za mchezo.
 
Back
Top Bottom