Papito KInduki
Member
- Jul 3, 2012
- 38
- 36
Nimepitia nyuzi kadhaa za kisheria juu ya maswala ya ndoa katika jukwaa hili, nimeona maswala mengi yamejadiliwa na kufafanuliwa na wataalamu wetu ndani jumba hili. ahasanteni, binafsi kuna ninachookota hasa tk kusimamia familia.
Lakini naomba kujulishwa juu ya :-
1. Ikitokea ndugu wakioana, tuseme kaka na dada wamejikuta tayari wapo kwenye ndoa bila wao kufahamiana kwasababu wazazi/mzazi wao hawakuwa wamewaambia labda kutokana na baba kuishi mbali na mama yao/zao
je watu hawa ikibainika ni ndugu je kuna sheria inaweza kuwaruruhusu waendelee na ndoa yao?
au lazima ndoa hiyo ivunjwe na wao waende jela au ni ndoa tu itavunjwa?
2, Je kwa upande wa mila ipoje,?
kwasababu hawa watu wameishi pamoja muda mwingi, je hakuna sheria ya kutengua ukoo wao na wakawafanya sio ndugu na ile ndoa ikawa halali?
3. kama ipo sheria inayoweza kutumika kuiendeleza ndoa hiyo?
je ni sheria gani na inaitwaje ? na ufafanuzi wake japo kwa ufupi.
4. kwa upande wa mila anaejua huwa inakuwaje pale inapobainika ndugu wawili wameoana huwa inakuwaje kuwatenganisha au kuwahalalisha