1. Media service act ya 2016Mi binafsi napenda ile sheria ya kutaka mtu anayefungua akounti youtube alipie. Au yule anayefungua blog, online tv na websites alipie. Tena kulipia pesa ndefu.
Ungependa kanuni na sheria gani kandamizi iondolewe?
Naunga mkono hoja!Mi binafsi napenda ile sheria ya kutaka mtu anayefungua akounti youtube alipie. Au yule anayefungua blog, online tv na websites alipie. Tena kulipia pesa ndefu.
Ungependa kanuni na sheria gani kandamizi iondolewe?