1. Sheria zinazohusu urbanization. Kwao kwa vile kulikuwa na "mlipuko" wa industrialization, walihitaji ardhi kujenga viwanda and accompanying facilities na hivyo kuhitaji ardhi. Watu waliajiliwa, alternative means to sustain life.
Wasio na Ajira wakapata social security money to sustain life. Huku tunayabadiri mashamba ya watu kuwa viwanja vya makazi na kuwaacha watu in dire situation with no means of earning life.
Hakuna mbadala wa hawa wanaonyanganywa mashamba yao, wataishije? Huu Ni unyama na kuiga blindly!
Rais na waziri wa ardhi, liangalie hili.
2...