Sheria ikoje pale Polisi anapoua pasipo kukusudia?

Sheria ikoje pale Polisi anapoua pasipo kukusudia?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?

Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja.

Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na haiwezi hata siku moja ikatoboa dirisha na kumpiga mtu kifuani.

IMG_7593.jpeg
 
Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?

Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja. Koz risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na haiwezi hata siku moja ikatoboa dirisha na kumpiga mtu kifuani.
Anafunguliwa mashtaka kiesheria
 
Polisi ni wauaji wanaolipwa kwa kodi za raia ambao hao ndio wahanga wa mauaji na mateso
 
Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?

Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja.

Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na haiwezi hata siku moja ikatoboa dirisha na kumpiga mtu kifuani.

Hafu maelezo ya Msemaji wa Police Tanzania ndo yamenishangaza...!

Kaelezea alichoeleza, mwishoni akasema Watu wawili walifariki kwenye tukio Hilo...! Kumbe Watu walipigwa Risasi za Moto, na ukiona Tukio linatokea na Watu wanauwawa hawakuwa eneo la Tukio..!

Ina maanisha Risasi zilikua zinapigwa Bila mpangilio.
 
Back
Top Bottom