Anafunguliwa mashtaka kiesheriaLeo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?
Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja. Koz risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na haiwezi hata siku moja ikatoboa dirisha na kumpiga mtu kifuani.
Hafu maelezo ya Msemaji wa Police Tanzania ndo yamenishangaza...!Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?
Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja.
Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na haiwezi hata siku moja ikatoboa dirisha na kumpiga mtu kifuani.