Sheria inasema nini kuhusu kutengana

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Nimeishi na mwenzangu kwa miaka 11,tuna 2kids na hatujafunga ndoa kutokana na conflicts za mara kwa mara.wife anasisitiza sana tugawane vitu,je sheria inasema nini kuhusu malezi ya watoto na kugawana mali
 
Kisheria hakuna ndoa kati yenu ila kuna kitu kinachoitwa dhana ya ndoa. Ili dhana ya ndoa iweze kutimia yafuatayo lazima yathibitishwe
1. Nyie si maharimu
2. Jamii inayowazunguka inawatambu kuwa ni mume na mke
3. Mmeishi pamoja si chini ya miaka 2
4. Hakuna ndoa inayoendelea kati yenu
5. Wote wawili wamekusudia kuishi pamoja kwa kaisha yao yote.

Kuhusu malezi yawatoto anayepaswa kulea ni baba naiwapo watoto ni wadogo sana(chini ya miaka 7) basi watakaa kwa mama. Kwa kirefu zaidi tafuta sheria ya ndoa na soma kif cha 135,134, 133, na 125. Hapa utaelewa vizuri zaidi
 
Nimeishi na mwenzangu kwa miaka 11,tuna 2kids na hatujafunga ndoa kutokana na conflicts za mara kwa mara.wife anasisitiza sana tugawane vitu,je sheria inasema nini kuhusu malezi ya watoto na kugawana mali
Ubaya wa Kilimo kwanza! Waoneni viongozi wenu wa kiimani wawashauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…