Sheria inasemaje baba kumuona mtoto?

Sheria inasemaje baba kumuona mtoto?

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Akina mama utoroka na wengine kwenda na watoto ili pengine aweze kuketewa vipesa vya matunzo ama tu kumkomoa mwanaume ama yote mawili.

Leo nimewaza juu ya hili, hivi inakuwaje pindi baba anahitaji kuwaona watoto wake àlafu mama hataki baba awaone ama saa nyingine kuwaficha kabisà? Ustawi wa jamii tusaidieni katika ufafanuzi tafadhari
 
Sheria ya ndoa ya Tanzania cap.29 ya 1971 inakataza jambo hill ikitokea hapo hakuna ndoa in void de jure.Haramu kabisa na kinyume cha sheria ni katikkifungu cha 14 prohibited degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wallah sijaelewa hata punje, usiongelee vifungu tu jaribu kuweka maelezo walau tusome wenyewe
 
Akina mama utoroka na wengine kwenda na watoto ili pengine aweze kuketewa vipesa vya matunzo ama tu kumkomoa mwanaume ama yote mawili.

Leo nimewaza juu ya hili, hivi inakuwaje pindi baba anahitaji kuwaona watoto wake àlafu mama hataki baba awaone ama saa nyingine kuwaficha kabisà? Ustawi wa jamii tusaidieni katika ufafanuzi tafadhari
Kumbe ni kumuona siyo kumuoa? OK,kama hakuna zuio la mahakama ruksa kumtembelea mkuu.**** mko kwenyjudicial separation na ulikuwa unambughudhi mwenzio ukawekewa non molestation close mkuu ukienda unalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mrdream kwa ufafanuzi mzuri kabisa nadhani hata Chwekamu atakuwa kakusoma swadata
 
Back
Top Bottom