Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Akina mama utoroka na wengine kwenda na watoto ili pengine aweze kuketewa vipesa vya matunzo ama tu kumkomoa mwanaume ama yote mawili.
Leo nimewaza juu ya hili, hivi inakuwaje pindi baba anahitaji kuwaona watoto wake àlafu mama hataki baba awaone ama saa nyingine kuwaficha kabisà? Ustawi wa jamii tusaidieni katika ufafanuzi tafadhari