Acha uuffaala basi, dadavuaSheria ya ndoa ya Tanzania cap.29 ya 1971 inakataza jambo hill ikitokea hapo hakuna ndoa in void de jure.Haramu kabisa na kinyume cha sheria ni katikkifungu cha 14 prohibited degree.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wallah sijaelewa hata punje, usiongelee vifungu tu jaribu kuweka maelezo walau tusome wenyeweSheria ya ndoa ya Tanzania cap.29 ya 1971 inakataza jambo hill ikitokea hapo hakuna ndoa in void de jure.Haramu kabisa na kinyume cha sheria ni katikkifungu cha 14 prohibited degree.
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛😛😛😛
Kumbe ni kumuona siyo kumuoa? OK,kama hakuna zuio la mahakama ruksa kumtembelea mkuu.**** mko kwenyjudicial separation na ulikuwa unambughudhi mwenzio ukawekewa non molestation close mkuu ukienda unalo.Akina mama utoroka na wengine kwenda na watoto ili pengine aweze kuketewa vipesa vya matunzo ama tu kumkomoa mwanaume ama yote mawili.
Leo nimewaza juu ya hili, hivi inakuwaje pindi baba anahitaji kuwaona watoto wake àlafu mama hataki baba awaone ama saa nyingine kuwaficha kabisà? Ustawi wa jamii tusaidieni katika ufafanuzi tafadhari
Huyu anawaza ubakaji tumsamehe bureKifungu cha 14 cha sheria ya ndo kinakataza mahusiano ya watu wenye undgu wa damu kwaio hawawez kuoana
Sent using Jamii Forums mobile app