Sheria inasemaje bajaj inapozidisha abilia kukaa siti na dereva?

Sheria inasemaje bajaj inapozidisha abilia kukaa siti na dereva?

Voiceless

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
7
Reaction score
4
Tukio hilo la ajabu labda kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa sheria bajaj moja pale mwenge mataa ilikuwa imezidisha abiria yaan abiria amekaa siti moja pamoja na dereva askari mmoja mnene mweupe ana nyota moja alisimamisha ile bajaj na kuondoa ile karatasi ya motor vehicle bima na kumshushia makofi mazito dereva na abiria aliyekaa mbele baadae akatoa amri kwa askali wadogo dereva Bajaj na abiria wote wawekwe ndani wakapelekwa kituo kidogo cha mwenge naomba kuuliza ndio utaratibu au sheria inaelekeza ivo au utaratibu binafsi wa askali wetu Kama ni sheria sawa ila kama sio sawa wewe askali mwenye nyota moja mwenge mataa acha tabia ya kupiga watu makofi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom