Tume huru ya uchaguzi Tanzania inatgkiwa itoe ufafanuzi wa kanuni na sheria juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za siasa
Sidhani kama hawa watoto wanauelewa wa chochote
=========
Mkutano Wa Uzinduzi wa Kampeni Za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata Ya Vingunguti, na meya wa jiji la dar ameeleza yale machache tumefanya na Yale tunayotizamia kufanya ndani ya Kata hii.
Tupeni Mitano Mingine tuendelee kuboresha Miundombinu ya barabara za Ndani, Tutengeneze fursa zaidi za Biashara ndani ya Vingunguti, Bila Kusahau Miundombinu ya Elimu, Afya na Maji tunaenda kumaliza yoooote!