Sawa mkuuhamna chenu nyie tiyari watu wazima, hata hivyo ni mali yake hiyo ana uwezo wa kufanya hivyo
Mkuu nami naomba ufafanuzi kidogo.. Baba mkubwa hakuzaa na kaacha nyumba mbili.. Baba mzazi na Shangazi wamefariki.. Sasa tupo watoto upande wa Baba wakiume wawili kike 2,na upande wa shangazi wa kiume 1 wakike 3Hapo mnachenu kwasababu nyie ni wanufaika wa Mali za baba yenu. Thamani ya hiyo nyumba mama yenu chake ni robo 1/4, ndugu wa baba ni 1/4 na watoto ni 1/2...
Mkuu nami naomba ufafanuzi kidogo.. Baba mkubwa hakuzaa na kaacha nyumba mbili.. Baba mzazi na Shangazi wamefariki.. Sasa tupo watoto upande wa Baba wakiume wawili kike 2,na upande wa shangazi wa kiume 1 wakike 3
Mgawanyo hapo ukoje?
Mama anataka kuuza nyumba na aliyojenga na marehemu baba then arudi kijijini ,vipi kuhusu sisi watoto,?wote ni watu wazima je tunachetu hapo?au hatuna haki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mnachenu kwasababu nyie ni wanufaika wa Mali za baba yenu. Thamani ya hiyo nyumba mama yenu chake ni robo 1/4, ndugu wa baba ni 1/4 na watoto ni 1/2.
Kama watoto msingekuwepo chake ilikua ni 1/8 na sehemu inayobaki ni ndugu wangechukua...
Ila mkuu pia kumbuka mama nae akiuza then atugawie watoto chetu akaenda Kujenga yake ili aepuke usumbufu,maana kuna sababu ya kuuza nyumba ni kwamba kuna watoto wanamsumbua,sasa akienda Kujenga nyingine baada ya kuuza ,je watoto waliokwisha pata chao watakuwa na haki tena kwenye nyumba yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashauri kwa mujibu wa sheria ipi? maana kwenye uislamu na ukristo kuna utofauti wa jinsi ya kugawanya maliHapo mnachenu kwasababu nyie ni wanufaika wa Mali za baba yenu. Thamani ya hiyo nyumba mama yenu chake ni robo 1/4, ndugu wa baba ni 1/4 na watoto ni 1/2....
Mkuu nami naomba ufafanuzi kidogo.. Baba mkubwa hakuzaa na kaacha nyumba mbili.. Baba mzazi na Shangazi wamefariki.. Sasa tupo watoto upande wa Baba wakiume wawili kike 2,na upande wa shangazi wa kiume 1 wakike 3
Mgawanyo hapo ukoje?
Mna chenu.
Baba akifariki mnatakiwa kufungua mirathi na warithi ni mama na watoto.
Hapo akiuza lazima awagawie asilimia kadhaa Kila mtoto kwa uwiano sawa, Kama hamtaki habari za mirathi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wote wamefariki.. Baba mkubwa alifariki 2001.Shangaz 2003.Mzee 2013.Mwenyezi Mungu awasamehe makosa yao na awapunzishe mahali pema peponi.Hapo wanufaika wa Mali hizo ni ndugu wa marehemu ambao ndio hao baba yako na Shangazi yako. Lakini nyinyi ni watoto hivyo sehemu iliyotakiwa kupewa familia Ndio mnatakiwa mgawane. Hivyo kisheria ilitakiwa hesabu au thamani za nyumba ipatikane kisha igawanywe lakini kibanadamu nawashauri mdai nyumba moja na nyingine mumuachie mjane ingawa atakuwa amwnufaika pakubwa kuliko uhalisia lakini hamna namna maana hata nyinyi sio wanufaika wa moja kwa moja...
Hawa wazee wote wamefariki. Waliobaki watoto.. Baadhi tunataka yakae sawa kisheria..Kama mama yenu mkubwa yupo basi ndio mwenye haki kwa asilimia mia, Kama Babu na Bibi wapo nao wanahaki.
Ila Kama ma mkubwa hayupo basi nyie watoto na washangazi mna haki sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri polepole.Amna chenu afu tena unasema wagawane sasa ndo umemanisha nini..
121.
Kumbe kuna urithi kwa baba Mkubwa!!!Wazazi wote wamefariki.. Baba mkubwa alifariki 2001.Shangaz 2003.Mzee 2013.Mwenyezi Mungu awasamehe makosa yao na awapunzishe mahali pema peponi. Amiinn, Tulio baki watoto haya maswala baadhi tunataka yakae sawa..
Shukrani sana kwa ufafanuzi wako... Mungu akubariki..