Sheria inasemaje katika hili la Mama kutaka kuuza nyumba

Sheria inasemaje katika hili la Mama kutaka kuuza nyumba

1. Je mama na baba walikuwa na ndoa ipi (ya serikali, dini (kikristo au kiislam) au kitamaduni)?

2. Je marehemu aliacha wosia? Kama hakuacha, nini ulikuwa mwenendo wake kipindi akiwa hai (alionekana kuwa na malengo ya kuja kupauza siku moja, n.k)

3. Je mlichagua msimamizi wa mali baada ya baba kufariki?

N.k

Kwa ujumla, Baba na mama ndio wahusika wa kwanza katika mali walizochuma katima maisha hao, tena ikiwa watoto wote ni wath wazima wakiwa na miiji yao isipokuwa kama kuna maelezo (wosia) wa mmoja wao kutofautiana na urithi wa mwenzi iwapo atatangulia mbele za haki.

Pia, ikiwa malengo ya baba ni kujenga makazi kuwa ni kitovu cha asili yake, na kwamba ilikuwa ni utaratibu wa kuwakusanya watoto wake hapo, basi watoto mna la kuthibitisha hilo kwa nini mama hapaswi kupauza kama mali yake binafsi.

N.k
 
Back
Top Bottom