Sheria inasemaje kuhusu dada aliyepewa zawadi ya picha chafu siku ya ndoa yake?

Mimi nadhani mnashindwa kuelewa kitu kmoja.

Jamaa alileta picha kwa siri tena ndani ya bahasha ..

Lengo na madhumuni ni kumpa muhusika picha zake.

Aliyezisambaza ndo anamzalilisha mwanamke uyo ..kwaiyo haTA KAMA ni kosa LA uzalilishaji kalifanya muhiska.

Pili una uhakika gani kama yule ni X wake? Maana standing on court inahitaji evidence za kutosha kuprove usemacho

Mytake
Hivi vitu vingine tuwaachie wazinzi wanajuana..hakuna KAMATI ya maadili ya TAIFA ..mahakama hapa hata haitumiki
 
Kwani alibakwa au ni maufundi ya chura wa Bongo ya kumuudhi muumba wao????
 
Umeongea kitu ambacho wasio na akili hawatakuelewa.upo vizuri mkuu.hili ni jibu tosha.
 
Reactions: y-n
We vipi wewe? Kwani wewe ukienda studio au kwa photographer ukapiga Picha na akakuletea Picha zako ni kosa kisheria? Acha kujenga hoja za kuwatetea mashoga.
 
Picha muungwana maana wengine hatuwezi changia Kwani hatukubahatika kuziona!
 
Hivi wanaochangia hii mada ni wanashria? nadhani mleta mada kaacha majukwaa yote kaleta humu kwenye jukwaa la sheria anataka sheria inasemaje
Niliwahi kusema JF imevamiwa na VILAZA ndio maana watu wakiona mada badala ya kusoma na kuelewa wanachangia utumbo tu kama wamekula chips dume. Mbona mtu kama wewe umeelewa kwamba mimi sijatuhumu mtu ila nauliza tu je kitendo kile ni sahihi kisheria ? Kwa uchangiaji huu wa the mburulaz ina maana hata ukisambaza picha za mkeo au mumeo kwenye mitandao mkiwa faragha ni sawa tu kwa vile si mtipiga kwa ridhaa zenu bwana!
 
Na yeye anamakosa kisheria kwanza kuliwa tiGO kwa hiyari, pili kupiga picha za utupu, tatu kupiga picha za ngono.
 
Picha muungwana maana wengine hatuwezi changia Kwani hatukubahatika kuziona!
Mkuu hizo picha ni chafu nitafungwa bure! Mi mwenyewe naishiwa pumzi nikiziona, nawaza ni vipi ingekua mwanangu au ndugu yangu? Kwa kweli dhambi tunafanya wote ila kumfanyia mtu hivi ni adhabu iliopitiliza hata kama alikumwaga vibaya!
 
Najiuliza kwanini lawama zinakwenda kwa yule mwanaume aliyepiga nae picha tu????
Video ilichukuliwa wote wakiwa na akili timamu tena wote wawili wakionesha Furaha ya asili wala sio Furaha ya kulazimishwa...Hapa nataka kusema kuwa yule mwanamke Alikuwa amefanya lile tukio kwa mapenzi yake bila kushurutishwa...

Inasemekana picha zilipelekwa kama zawadi siku ya harusi,hii inamaanisha jamaa aliyezipiga hakuwa na mpango wa kuzisambaza mitandaoni....
NANI ALIYEZISAMBAZA?????
HUYU NDO MTUHUMIWA WA KWANZA NA NAAMINI ILE SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAONI INAMUSU
 
Mkuu issue hapa sio kama picha zilipigwa kwa ridhaa au kwa shurti, issue hapa ni je inaruhusiwa kusambaza pocha za utupu za mpenzi wako? Hilo la kusema eti zilipelekwa kama zawadi unaongea kama vile hujui zawadi za harusi hua sio personal gift ni za mume na mke na hufunguliwa na mtu yyte wa karibu. Suala na nani kasambaza halihitaji hata akili ya shule za kata kwa sababu picha hizo zilipigwa na watu 2 tu. So mtuhumiwa no 1 ni Ex wake then kama alipoteza simu atajieleza mbele kwa mbele na ushahidi utamlinda au kumfunga.
 
-Kwanza kabisa sheria inampa pole.
-Pili sheria inamtaka asijidhuru.
-Tatu sheria inamsihi ayafurahie matunda ya kazi ya mikono yake bila kinyongo kwani apandacho mtu ndicho avunacho.
 
Sheria inasema mzinifu apigwe mawe madogo madogo mpaka afe. Huyo malaya anapaswa apigwe mawe
Huyo malaya anae takiwa apigwe mawe kwani alikuwa akijifanya mwenyewe tendo la ndoa (kujisaga) au alifanya na mwanaume. Kama ni hivyo wapigwe wote maana wameshirikiana
 
Hapo kwenye Kusambaza hapo ndo panahitaji kutazamwa......
Zawadi zilipelekwa na wafunguaji ni bwana na bibi harusi au watu wa karibu,hao watu wa karibu waliofungua hizo zawadi ni akina nano???

Inawezekana hao ndio waliozisambaza kwa kiasi kikubwa lakini pia inawezekana ingawa sitaki kuliamini hili kuwa yule jamaa aliyepeleka zawadi naye anaweza akawa amezisambaza.....Hivyo pande zote mbili zinahusika
 
Mkuu kuna mambo mengi kwenye tukio hili, kuna makosa ya kijamii civil cases na kuna makosa ya jinai, criminal,

1. Kwanza ieleweke, kwa mujibu wa sheria za Tanzania, umri wa mtoto (minor) ni miaka 14!, hivyo kufanya mapenzi na yoyote, kwa ridhaa yake, baada ya umri wa miaka 14, sio kosa kisheria, hivyo mhusika wa picha zile, hakufanya kosa lolote kisheria kufanya aliyoyafanya.

2. Kuna aina za mapenzi zinazoruhusiwa kisheria, na kuna aina za mapenzi ambazo haziruhusiwi kimaadili, na kuna aina za mapenzi ni kinyume cha sheria, kufanya mapenzi kinyume cha maumbile, ni kinyume cha maadili na sii kinyume cha sheria, hivyo huyo dada/kaka kufanya mapenzi kinyeme cha maumbile kwa ridhaa yao wenyewe, hawajavunja sheria yoyote.

3. Kupiga picha zozote na mpenzi wako, hata kupiga picha chafu za aina gani, as long as mmezipiga kwa ridhaa yenu, sio kosa lolote la kisheria, bali ni kosa kimaadili, huyo dada hajafanya kosa lolote kisheria kupiga picha chafu.

4. Kuna kitu kinaitwa "the right to privacy" yaani haki ya faragha, hii ni haki ya mambo mtu anayoyafanya kwa faragha kubaki kuwa faragha, hivyo inapotokea watu mlikuwa kwenye faagha fulani, mkifanya mambo yenu faraghani, ikiwemo kupiga picha za utupu, hayo yote yanahesabika kuwa yamefanywa kwa faragha, ikitokea kuna mmoja wa wana faagha hao, amezitoa picha za faragha kwenye public, bila ridhaa ya mwana faragha mwenzake, ni kosa la kijamii linaloitwa "defamation" hivyo huyo dada anaweza kumfungulia kesi ya madai huyo ex wake kwa kitendo tuu cha kuzichapisha picha zao za faragha na kuzisambaza.

NB. Kwenye kesi hiyo, lazima ithibitishwe jee ni nani aliyezisambaza picha hizo, inawezekana kabisa, wapenzi mlipiga picha za mahaba kwa nia njema ya faragha, lakini picha hizo zikadondokea katika mikono isiyo salama na kusambazwa, kosa ni usambazaji!. Katika tukio husika hakuna popote palipoonyesha hizo picha zililetwa na nani, hivyo hakuna mtu wa kumshitaki!.

5. Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii, picha zile zilitumwa privately kama parcel kwa maharusi, na zilibainika nyumbani kwa maharusi hao baada ya fungate!, ikumbukwe nyumba zote ni private na zina haki ya faragha, yaani kitendo cha kutoa mambo ya ndana ndani ya nyumba hizo, nazo zina maeneo ya faragha zake, mfano mambo yanayotokea chumbani kwenye nyumba hiyo hiyo ni faragha ya chumbani, hayapaswi kufika hata sebuleni, mambo ya chooni ni faagha ya chooni hayafai kufika sebuleni!, hivyo mzigo wa picha ulianzia chumbani, kwa hao walioziona humo chumbani, mambo yalipaswa kuishia humo humo chumbani!, sasa msambazaji mkubwa wa faragha ile ni aliyezitoa picha chumbani, hadi sebuleni, hadi nje ya nyumba, hadi mitandao ya jamii, na wahusika kwenda kwenye vituo vya edia kutangaza faragha zao!.

6. Ikithibitika ni nani aliyezisambaza kwenye mitandao ya kijamii, hapo ndipo jinai inapoanzia hapo na inawahusu wote waliozipokea na kuzisambaza!.

7. Ili kufungua kesi yoyote, hatua ya kwanza ni kumtafuta mhusika wa kosa husika, hapa kosa la madai, civil ni kusambaza picha za faragha kwenye public ya watu, na litamhusu aliyekuwa na hizo picha na kuzituma kwa maharusi!. Kosa la pili ni la jinai la kusambaza picha za utupu kwenye mitandao ya kijamii na zitamhusi aliyeziingiza kwenye mitandao, na unaweza kukuta huko kote hata huyo ex wala hahusiki!.

My Take.
Huyu bwana harusi na mkewe ndio wahusika wakuu number moja kwa kutoa ndani mambo yao aibu zao za ndani na kuyamwaga hadharani, kama mtu unampenda kwa dhati mke wako, utamfichia aibu yake!, picha zile zingeishia pale pale chumbani!, jianaume zima linahojiwa redioni linaongea kwa uchungu utadhani lenyewe ndio lililokuwa la kwanza!. Kuna watu wameoa wanawake waliokuwa wakijiuza, na kwenye biashaa hiyo wameingiliwa kote hadi mande milango yote, na bado wamekuja kuwa wake wazuri kabisa kwenye ndoa zao!, kama pendo la dhati lipo, picha ndio nini?!.

Pasco
 
Hakuna aliye msafi kiukweli wengine mpo humu humu jf hii tabia imeenea sana katika kizazi hiki nina uhakika wapo wana jf humu humu ndani wenyetabia hizi za kupiga picha za faragha na wapenzi wao na kudirika kuzisambaza kwenye blogs mbali mbali haswa wengi wanazitumia picha hizi haswa pale wanapogombana na wapenzi wao basi waje kuwadhalilisha au wengine wanatembea na wasichana ambao kwao wanajiweza kifedha so wanawapiga picha za utupu ili waje kuwaambia wapewe pesa la sivyo navujisha picha zako kwenye mtandao so inapotokea hawajakubaliana juu ya malipo yoyote basi muhusika huanza kusambaza picha za aina hii kwenye mitandao mbali mbali
 
Hiyo story ya kutunga imekuwa headline sana.
Naamini hata mtu akizusha mlima kilimanjaro umeibwa tutaamini
 
Mkuu unauhakika aliyezipeleka kwa bibie ni x-lover wake? je kama ndo kameramani aliyezipeleka baada ya kumtafuta muda mrefu bibie bila mafanikio,so akaona huo ndo muda muafaka wa kumpa picha zake? think out of the box
...which box, au unafikiri kusema neno "think out of the box" ndo upo smart?, we mwenyewe umeshindwa kufikiri kuwa hizo picha Ni za faragha Ni bila shaka zilipigwa Na mwenza wake, Na Kama kusambazwa Ni kuwa zimesambazwa Na mwenza wake, hili si la Mara ya kwanza, Na Ni kosa la udhalilishaji.

Tupenda kuona taasisi Kama WLAC, LHRC, TAWLA n.k. Muwe mmeshchukua hatua za haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…