Sheria inasemaje kuhusu mkopo kama huu?

Sheria inasemaje kuhusu mkopo kama huu?

Dickmadegwa

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
27
Reaction score
7
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwakuwa mkopo ulikuwa issued, Sasa ni mwaka umepita wameanza kunisumbua nilipe na tulikubaliana nilipe kwa mwezi elf 50, Sasa nilianza kulipa kama x3 nikawa Sina kitu maana Sina kazi, Sasa nilipata mtu wa kunisaidia kulipa kwa mkupuo zote nikatuma maombi ili wanipunguzie nilipe million 2 zote kwa mkupuo lakini wakakataa Sasa wameanza kunisumbua na kunitisha kuwa watanifunga je nifanyeje na kisheria ipoje hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanakutisha tu hamna chochote,mwajiri wako ambaye alikuwa mdhamini wako ndio yupo responsible na huo mkopo! na jata hivyo hiyo mikopo ina bima
 
Soma mkataba wenu vizuri uuelewe ndio uanzie hapo. Unajua wa TZ kwa shida zao linapokuja suala la pesa hata masharti ya mkataba huwa hamsomi, matatizo yanapoanza ndio mnatafuta wanasheria, Pambana na mkataba wenu mkuu.
 
Asante, brother but mwajili alikuwa ni halmashauri na mkopo ulikuwa una bima.
Pia kwann walikataa niwarudishie hela zao ili tuachane?
Pia je wanaweza kunipeleka mahakamani nikiwa Sina kazi Wala mali za kuwalipa?
 
Asante, brother but mwajili alikuwa ni halmashauri na mkopo ulikuwa una bima.
Pia kwann walikataa niwarudishie hela zao ili tuachane?
Pia je wanaweza kunipeleka mahakamani nikiwa Sina kazi Wala mali za kuwalipa?

Hawajakataa ila wewe umeomba punguzo kitu ambacho hawawezi kukifanya

Mimi nashauri ulipe tu mkopo wao kulingana na mkataba wenu kuepusha matatizo .
 
Wewe huikuhusu, ndio mana mkopo wowote lazima wakaukatie bima. Wataliowa na bima wasikutishe hao nyau
 
Back
Top Bottom