ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari mafriendy zangu
Mwenzenu bado niko gizani kuhusu jambo hili la sheria ya wanandoa, hiv kuna kifungu kinachosema kunakuachana kabisa na kutalakiana, na vipi kuhusu vitu mlivyochuma wote inakuwaje hapo?
Sisemi haya kwamba yamenpata la hasha nataka kujua uwazi zaidi kwani kwenye maandiko matakatifu
yamesema hakuna kuachana mpaka kifo kitokee kwa mmojawapo wa wanandoa? sasa hiyo talaka imekujaje?
na je kwanini kizazi cha sasa wanashindwa kuvumiliana kama wazazi wetu (mababu + mabibi) wanavyokaa
mwisho wa uzee wao? Kuna nini nyuma ya pazia kinachoendelea juu ya vijana wetu wa kisasa?
Au ndo ulimbukeni wa mapenzi? ulimbukeni wa maisha ya ndoa? hebu nijuzeni hapa marafiki.
Nionesheni vifungu vya sheria vinavyosema kuachana au kutalakiana kwa wanandoa
siku njema
cc: Mamndenyi, Mtambuzi, Paloma, watu8, Mentor, Bakulutu, Arushaone, Erickb52, Mr Rocky, Madame B, Heaven on earth, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, Nicas Mtei, kiwatengu, YNNAH, cacico, Smile, Bujibuji, Asprin, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, jouneGwalu, Gwamahala, Bishanga, evenly salt, gfsonwin, Preta, Filipo, Mwita Maranya, mwaJ, marejesho, Ndetchia, The secretary, amu na marafiki wengine ambao kwa namna moja nimewasahau majina yao toeni ushauri hapa.

Last edited by a moderator: