Nchi hii Tanzagiza sheria zipo kwa machakaramu tu,siyo kwa wakulu bilanga!
Samia na ccm yake wametuharibia sana nchi!
Tanzania ni Taifa la Kambale, kila mmoja ana ndevu asaivi.Sheria inasemaje watu hawa ambao wakati wowote wanaweza kubadili namba na kufanya matukio? Ndio watu wasiojulikana au wahuni tu wa mjini?
Naikumbuka! Kwanini umtishie mtu na toi in the first place?! Majambazi yameshika Power!Tanzania ni Taifa la Kambale, kila mmoja ana ndevu asaivi.
Watekaji mostly ndio hutumia hizo gari.
Anyways, acha inyeshe tutajua tu wapi panavuja.
Yule jamaa wa Land cruiser hard top waliomkamata wakasema alitishia Toy la Bunduki, gari yake pia ilikuwa na namba fake, fuatilia ile habari utaelewa ni kina nani hasa wana hio tabia ya kishenzi.
Mie siwezi kubanduliwa, nabandua tuMpaka pale anayeenda kubanduliwa ni wewe!