Sheria inasemaje kuhusu watu kuwa na plate number za kubandika na kubadili watakavyo?

Hapo sio kwamba anatoa na kubadilisha, tayari ndani kuna plate number nyingine, hii imewekwa kwa juu, ni suala la kuibandua ya juu tu inabaki nyingine iliyofungwa kwenye gari.

Gari nyingi za watawala zinakua na namba zinazotambulisha nafasi zao lakini wanakua na hizo namba private pia. Sijawahi kufuatilia ni wakati gani anatumia namba ya serikali na wakati gani private inatumika, gari ni ileile.
 
Sheria zimetungwa kuwaongoza tabaka tawaliwa.Mwenye uwezo wa kubadili arakavyo hizo namba plate ni mtawala ambaye sheria za barabarani hazimhusu.
Tutaongea sana mpaka watu watoke vibiongo na hali hii haita Isha. Dawa kuu ni kuiongoa CCM madarakani kwa njia yeyote Ile hakuna mjadala katika hilo. Watu washenzi dawa yao ni ushenzi tuu na sio ustaarabu.
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 3
Alaaaaa! Na zote zinakuwa zina usajili wao - kwa viongozi?
 
Ukiona KOBE juu ya mti ujue amepandishwa huyo.

Mpaka ameweka hivyo ujue hakuna trafiki atakayemfanya KITU.
 
Wanapita mbali kama wameona ukoma, eti Wakuu na genge lenu๐ŸŒš๐ŸŒš Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
My Lady,
wewe si muuza magari na unajulikana sana mitandaoni au nakosea?

halafu,
ikiwa unataka kujua, kuongeza uelewa na ufahamu wako na wadau wa Jf, juu ya jambo hilo au yanayofanana na hilo kisheria, nadhani ungejieleza kwa hekima na busara, kama mtu ambae kweli anataka kujifunza.

Lakini inaonekana wazi hujalenga kujifunza chochote, ispokua kutafuta attention na kuatract public sympathy ambayo for sure sidhani kama inasaidia chochote. Kwanini unatengeneza maudhui kwa ugumu namna hiyo lady?

mi nadhani,
hakuna haja ya upotoshaji kwa wadau wa Jf kwa kutumia gari jipya unalotoa bandarini na kulipeleka yard kwa number plate ghushi ya gari jingine ambalo tayari limesajiliwa kisheria.

Otherwise,
kwa faida ya wadau wa Jf, na kwasababu za kiusalama hasa katika mazingira ya kudeal na wahalifu hatari, kunaweza kutumika namba plate maalumu kama code ya mawasiliono baina ya maafisa usalama walio katika doria.

Lakini,
haiwezekani hata siku moja kua na likibania plate kikubwa na cha wazi namna hiyo, unless ni hao ni majambazi wasio wazoefu
Na in fact sio rahisi kabisa kwa raia wa kawaida kujua au kugundua code za maafisa usalama wanaotumia number plate maalumu kufanya doria au kudeal na wahalifu hatari maeneo mbalimbali nchini.

porojo kama hizo za mtoa hoja, hua tu ni za kufurahisha genge ๐Ÿ’
 
Kwani sher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ