Sheria inasemaje kwa mtumishi wa umma kukaa Eda?

Nadhani kuna likizo kwa mfiwa anaweza kuitumia anavyotaka
 
haya mambo bhana ni magumu sana, kwa maana muslims wenyewe hawaruhusu mwanamke awe kiongozi popote na hii labda ndiyo moja kati ya sababu, lkn tanzagiza siyo nchi ya kidini hivyo mambo ya eda hayapaswi kutambulika, i mean ni wapi imeandikwa kwamba mtumishi wa umma anaweza kwenda eda na kulipwa, isitoshe je tukivamiwa sasa hivi ni nani ataongoza jeshi? hawa watu bhana, ni ngumu sana.

its just too complicated ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…